Recent content by Ashura Kayupayupa

  1. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Kama huna tafiti au hujafanya tafiti kupinga jambo fulani basi huna haki kufanya hivyo kwa maneno matupu. Kuhusu Kilimanjaro ni kweli Ice imepungua sana karibu kuisha, nimepanda mwenyewe mpaka Uhuru peak na nimethibitisha ni kweli Ice imepungua kuliko nilivyowahi kuona katika picha ice...
  2. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Fanya tafiti yako vizuri, mana za kisayansi zinasema hivyo--ona hii link Sahel | Climate News Network Now, for what they say is the first time, scientists in Germany have identified three African regions which they think should prepare for multiple problems in about 20 years’ time. They are in...
  3. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Fanya utafiti wako vizuri, kwani tafiti za kitaalaamu zinaonyesha uwezekano wa kuwa jangwa ikiwa hatua madhubuti hazitachukuliwa. Ona hii link Sahel | Climate News Network " Now, for what they say is the first time, scientists in Germany have identified three African regions which they think...
  4. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Nashukuru na wewe kupata muda wa kuchangia mada japo upo busy na kuweka chochote mezani. Lakini mabadiliko ya tabia nchi yanachangia uwepo na uwezo wako wa kutafuta chochote, fikiria ndani ya miaka 20 TZ ikiwa jangwa, utatafutia chochote wapi? ukame na joto kali itahatarisha maisha na uwezo wako...
  5. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini kwako? Mabadiliko ya tabia nchi ni mabadiliko ya mtiririko wa mfumo wa hali ya hewa yanayochukua muda mrefu au mfupi na kusababisha hali mbaya za hewa ama uchache wa hali inayohitajika au wingi wa hali isiyohitajika na kusababsisha madhara. Kwa mfano...
  6. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Hata kuzaana ni natural thing ila mbona tunahitaji 'uzazi wa mpango' kulingana na rasilimali zilizopo na nafasi? so as climate change we need to change some things to adapt the change.
  7. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Utafiti unaonyesha Tanzania miongoni mwa nchi zitakazokuwa Jangwa ndani ya miaka 20 ijayo ikiwa hatutarudisha uoto wa asili tuliokaata. Kwa hiyo nani atakaeathirika zaidi na matokeo ya shughuli za binadamu hapa? USA au Tanzania. Point ni kwamba sisi ndio waathirika wakubwa and we have to do...
  8. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Asante sana kwa maoni yako muhimu sana, sasa ni changamoto kwetu tunachukuliaje swala hili. Nakubali ikifundishwa tangu shule za msingi itasaidiaa kujenga vijana na moyo wa kutunza mazingira na kuwajibika ktk shughuli zinazofaa kwa mazingira. Pia tuiulize NEMC wanahakikisha vipi mazingira yetu...
  9. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Si kweli ndugu Jerry, hata kama TZ inachangia kiasi kidogo bado tunachangia na sisi ndio tunaathirika sana na madhara ya mabadiliko tabia nchi. Ni wajibu wetu kuchukua tahadhari, kwa kuwa miundo mbinu mingi mibovu kwanini tusipande miti? pamoja na kutumia kuni kama nishati basi turudishe ile...
  10. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    I have not done the calculations yet but I mostly walk to places, use gas stove for cooking, sort the waste from my house to separate compost and non compost. I have a small garden for fresh air hence it brights the house with green. I try my best
  11. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Asante sana kwa maoni yko Ngorunde, nitalifanyia kazi swala la luha. Nashukuru kwa kuliona hili na kunieleza, pamoja sana.
  12. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    Hi Haki Sawa, did my arguments make sense to you? if so, please spread the word to everyone that Climate Change is real and it affecting our lives, we need to take action now. Thank.
  13. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    I argue each individual to take action to reduce the effect of climate change, if you have checked the link of the programme. Some villages is Tanga were flooded and the rain destroyed everything. Why cutting down trees without replanting them. Small small act contribute a lot to the effect so...
  14. Ashura Kayupayupa

    Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanamaanisha nini Tanzania

    On the 14th May 2014 I was a guest speaker at the popular morning TV Live programme Baragumu at Channel Ten after the news bulletin at DSTV Chanel 292, locally known as Chanel Ten. As a Climate Leader from Tanzania today I did share the information about Climate change, its impact and what...
Back
Top Bottom