Recent content by Ashrafu Zaharani Ally

  1. A

    Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

    Nashukuru kwa maelezo yenu wana jamii forum wenzangu. Ila ningepependa kufahamu mfumo wake wa kutengeneza pesa kupitia huu mfuko upoje? Je, naruhusiwa labda nikiwekeza baada ya muda gani fulani naruhusiwa kuja kutoa pesa zangu au ni mamlaka husika ndo wanatoa magawio? Nilitaka pia kufahamu...
  2. A

    Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

    Nimepata email kuhusiana na huu mfuko ikiwa na kichwa cha habari kwamba ni fursa ya kujikwamua kiuchumi. Lakini sifahamu kiundani uwekezaji wake na vipi nitapata faida. Naomba nijuzwe tafadhali kwa anaefahamu kuhusu hili. Asanteni. --------- Mchango
Back
Top Bottom