Recent content by Ashrafu joseph

  1. A

    Kuna utapeli wa kuambiwa umetumiwa mzigo lakini unaambiwa mzigo huo umetumwa eneo tofauti na ulipo

    Hivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona? Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
Back
Top Bottom