Recent content by Ashraf JK

  1. Ashraf JK

    JamiiForums Tanzania Tangu 1997 nilipoanza kuingia korido za hospitali, leo nimegundua kuna jamaa hospitali anaitwa Mfamasia

    Mwaka 1997 nilipoanza kuingia korido za hospitali, nilikuwa najua watu wachache sana. Nilimjua daktari. Nilimjua nesi. Nilimjua mtu wa maabara. Na yule anayekaa dirishani na kuniambia, “Lipa kwanza.” Huyo nilimjua vizuri sana. Lakini mfamasia? Hapana. Jina hilo halikuwepo kwenye kamusi yangu ya...
  2. Ashraf JK

    JamiiForums Tanzania Pengine ulikuwa hujui, lakini kuna Kichaa cha bangi

    Si Ndiyo! Matumizi ya bangi yanaweza kuhusishwa na hali ya kisaikolojia inayojulikana kitaalamu kama cannabis-induced psychosis, ambayo kwa lugha rahisi inaweza kueleweka kama “kichaa cha bangi”. “Kichaa cha bangi” ni nini? Ni hali ambapo mtu anayetumia bangi anaweza kupata psychosis, yaani...
  3. Ashraf JK

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: A Prospective View

    Overview Tanzania has many natural resources and cultural heritage, so it is confident enough to be a center of prosperity and development in future years. The phrase "Tanzania Tuitakayo” sums up the vision of the nation on a better tomorrow characterized by quality education, healthcare...
Back
Top Bottom