Recent content by ashley

  1. A

    JamiiForums Tanzania hello people,naomba kuwasiliana na watu wanaofuga kuku wakisasa wa mayai kwani nataka kujifunza

    mimi ni mfugaji wa kuku wa kisasa mkoani,nahitaji kubadilishana mawazo na watu wanaofuga kuku wa kisasa wa mayai popote pale walipo,nitashukuru endapo nitapata wafugaji wenzangu au watu ambao wana idea ya ufugaji kuku wa mayai wa kisasa, chaoo.
Back
Top Bottom