Recent content by Ashery Eliakim

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Bongo Dah kila mchoraji anayekuja PM namwambia achore sample nione harudiii🤣🤣🤣 kwanini sisi ni wababaishaji kiasi hiki. Mwingine kasema ngoja nifike home nakuchorea mpaka leo....sjui bado hajafika home?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Mkuu mbona bei ni reasonable sana kwa mtu mtu ambaye yupo vizuri kwenye kuchora, kama mtu anaweza kuchora for fun why not accumulating those 1ks???
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Hata sio expensive, hiyo unayoiona nimechora mwenyewe roughly kwenye PAINT App ya Microsoft, haikuchukua hata dk 10
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Bado nasubiri wachorajii
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Okay
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Mkuu Mimi sio Disney au Pixar, bado tunajitafuta. Kama huwezi kusapoti naamini unaweza kunyamaza unaweza. Sio lazima kila uzi u-comment!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Inasikitisha? Buku picha moja? Akichora mia ni Tsh ngapi? Akichora kwa mwezi mzima je? Au umeskitika kabla hujafikiria?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Ungekuwa unajua kuchora usingeuliza hili swali maana ungejua protocol inavyokuwa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Ndo kusema wachoraji hakuna??
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Sio nashindwa kuelezea, hiyo picha unayoona hapo huyo ndo TANZANIAN mwenyewe, nataka mtu amchore either akiwa kama nilivyompost au akiwa kwenye pozi tofauti Huyu unayemuona ndo TANZANIAN sasa kisichoeleweka ni kipi??
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Si nimeweka picha yake apo mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Hii hujachora ww am suree
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Vipi bado hujafika home???
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Bro mchore TANZANIAN weka sampo hapa, picha kila mtu anaweza kuchukua huko ata mitandaoni akapost.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Bado tu?
Back
Top Bottom