jamani,babu aliongea ukweli mtupu na jk na mamvi walishamwelewa,if u think wiser utaelewa.*Nani alikua dokta wa babu?Ni mwakyusa..Baada ya Mwalimu kufariki,hakuingia ktk siasa kpndi cha rais bora mh Mkapa ila Baada ya jk na mamvi kupata nchi,mwakyusa nae aliingia ktk siasa na akapewa nyadhifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.