shukrani kwa kuweka video hiyo ya shekh ilunga ila ungewek yote ili ujumbe ufikee. pia weka na ile ya salaam za idd aliyozungumza mwanza baada ya swala ya iddil hajj.
nimecomment kwa comment ndefun sana hapo chini hebu soma hicho kipengele cha MoU then uje na hiyo hoja yako kuwa waislamu wanapotosha au wameusema ukweli ulio kuwa umefichwa kwa muda mrefu, then pia post huo mkataba, tusibaki kuandikia mate tuu,ilhali wino upo. @ palalisote
Nimepitia kwa kina tamko hili lakini kuna mambo yakimsingi ya kuyaangalia katika tamko hili, katika sehemu ya nne ya tamko hili ntajaribu kupitia baadhi ya hoja zao.
→ Hali ya mahusiano kuzorota na kashfa dhidi ya kanisa.
Hapa yamezungumzwa maswala ya kasfa, uchochezi, matusi kupitia...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.