Rahisi mno kaka. Ni kweli viwanja vinapanda thamani kila siku maana 2011 wakati tunanunua hili eneo bei ilikuwa chini mno. Na ukuaji wa huku ni wa kasi sana naamini hata miaka mitano mbele inaweza kuwa zaid maana kuna hospitali kubwa sana inajengwa mfano wa muhimbili jirani na eneo ambapo ni...
Nauza kiwanja kipo Toangoma Malela
Ukubwa sqm 800 (40×20)
Kiwanja kina hati ya wizara miaka 90
Mtaa umepangika vizuri na barabara za mtaa safi.
Kilometa 1.5 kutoka barabara ya Kongowe Kigamboni (Funcity)
Kilometa 1 kutoka barabara ya vikunai Chekechea.
Bei Tsh Milioni 18 (Neg)
0717727504
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.