Engine inazungusha ila moto hamna,hakuna Moto pale kweny spark plugs,wenda ignition coil imeharibika au labda plugs ndo zinashida lkn wameshindw kuwasha mpaka leo kiongoz
Shukran mkuu
Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.