Recent content by ASadick

  1. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Kwa kweli Apana nimeshapita mambo mengi sitaki kusema mengi. Wamelisema hadharani kwamba watanikomesha na wamenikomesha kweli. Wameniwekea mpaka kesi ya madawa ya kulevya na kutrngeneza pesa bandia ila mungu Mkubwa. Sio watu kabisa
  2. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Kote huku nimeshapita mambo mengi sitaki kusema mengi. Wamelisema hadharani kwamba watanikomesha na wamenikomesha kweli. Wameniwekea mpaka kesi ya madawa ya kulevya na kutrngeneza pesa bandia ila mungu Mkubwa. Sio watu kabisa
  3. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Watoto ndio familia nilioachiwa na Marehem Mke wang na Sina budi kuilea ipasavyo ........Dunia hakuna alie na uchungu au na mapenzi ya dhati kama Mzazi. Unaweza ukafanya hayo maamuzi kama watu unaopambana nao Wana Imani na hofu ya Mungu lakini apana.
  4. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Watoto ndio familia nilioachiwa na Marehem Mke wang na Sina budi kuilea ipasavyo ........Dunia hakuna alie na uchungu au na mapenzi ya dhati kama Mzazi.
  5. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Inshallah haki itatendeka ....sasa hivi hakuna waolewaji .......kama unataka Kufa mapema kabla ya tarehe uliondikiwa na Allah na watoto wateseke kwa tamaa za kijinga siwezi jichanganya.
  6. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Wewe ni Muhaya nn.......Tabia za kurithi zimepitwa na wakati. ......Asante Sina mpango kuoa.
  7. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Hahahahaha niliamua sitaowa tena. Acha nilee watoto.nipo na biashara zangu hapa TZ . Kikubwa nikutekeleza mirathi na kuwaandikisha watoto nyumba zote, kupanigisha chini ya kampuni na hela ziende kwa account za watoto au nyumba ziuzwe mgawanyo kwa watoto. Nikiona balaa Bado lipo unahama nchi.
  8. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Kupanigisha sio shida na subiri maamuzi ya kesi. Nitekeleze kama msamizi wa mirathi tatizo ni mda na madhara kwa watoto
  9. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Vielelezo vipo manake kila Transaction nikifanya nilikua silipi kwa Cash ila nafanya TT kutoka nchi husika kuja kwa muuzaji bank TZ
  10. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Mali nilinunua nikamuandikisha Mke wang kwa sababu mm sio MTz na Sheria hairuhusu ni miliki
  11. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Toka waambiwe hukumu inatoka wamekuwa na dharura nyingi kama si wao ni hakimu .....
  12. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Wameweka pingamizi kwa hukumu iliokua imeshatoka ya Mirathi kwamba mm ni msimamizi wa mirathi. Tumesikiza pingamizi lao Tunasuburi Hukumu kama pingamizi linasimama au hukumu ya awali itekelezwe.
  13. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Nasubiri hukuma ikitoka nifanye hatuja inayofata kama ni kukata rufaa au kutekeleza hukumu itakayo toka bila pingamizi
  14. ASadick

    Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Kesi ya Mirathi ilikua tayari hukumu imeshatoka kua Mm ni administrator na warithi ni watt. Wakatoa pingamizi Kisha wakajarobu kunitengenezea kesi ya madawa ya kulevya na illegal immigrant. Lakini yote yamepita nipo kihalalli na documents ziko sawa. Tunasuburi hukumu kuhusu ya pingamizi ndio...
Back
Top Bottom