Recent content by Arif73

  1. Arif73

    JamiiForums Tanzania Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

    Vitali Soma khabari uzuri Kisha ndio ujibu, iliozungumziwa hapo juu ni nusu FINALI ya kombe LA shirikisho LA AZAM na sio LA Africa
  2. Arif73

    JamiiForums Tanzania Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

    Nusu funali ipi?? Mbona wagumu kuelewa nyie kombe LA FA ni LA Azzam sio LA Africa
  3. Arif73

    JamiiForums Tanzania Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

    Nusu funali gani?? Elewa kilicho andika, nusu FINALI ya kombe LA AZAM ndio hiitwa FA
  4. Arif73

    JamiiForums Tanzania Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

    Mchunga ng'ombe tumemoa kazi hio bocco ambae Hana bao kwa ligi so Hana kazi uwanjani aje achunge ng'ombe
  5. Arif73

    JamiiForums Tanzania Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

    Mnnnh Ati nusu funali, Soma uzuri kasema nusu fainali gani, amesema nusu fainali ya FA yaani azam cup na sio ya confederation, someni kwanza muelewe kilicho andikwa,
  6. Arif73

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, Clatous Chama ajitafakari, hakupata ushauri mzuri

    Sio tu kupimwa akili anafaa kuwekwa hospitali ya wenda wazimu, maana alikuwa anaweza maliza msimu huko Berkane Kisha akarudi, ILA kiwango chake huko Ber
  7. Arif73

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Manara dhidi ya Ahmed Ally waonekana bayana

    Hii mambo ya kulia kulia wameenda kupokea timu airport hayo ni ya utoto, maana yanafanyika hata nje, nyie chezeni Mpira wenu mutunyamazishe, maana hata tukiamua kuwasifia mukishinda mutakufa kututusi kwa USHINDI huo so afadhali tuwe opponents wazi wazi
  8. Arif73

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Manara dhidi ya Ahmed Ally waonekana bayana

    Maneno kuntu Sana Sasa shida ya wao kushinda kujaza UWANJA wanlilia kuwa yanga tume enda kuwa pokea Berkane, No sisi tume enda kupokea watoto wetu tulio wauza na wakaweza kuvumilia magumu morrocco sio kama Chama alishindwa kitoto kiazi
Back
Top Bottom