Na sio realistic kabisa.kuna mtu mkubwa namjua tulikuwa tukimfuata atufanyie mpango anasema hivi si mjiajiri tu.sasa yeye katumbuliwa anahaha kwanini asijiajir na hela alipiga amekazana kuhangaika.na wanao tuambia tujiajiri wanajua kabisa tunatoka katika familia za kawaida.wakusomeshe na wakupe...

Habari zenu, Mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili, Natafuta kazi, Nina degree ya community development.Nimewahi kufanya kwenye NGO kea mda wa miaka mitatu but mradi wetu uliisha.Ninafanya biashara ndogondogo kwa sasa Ila ninapenda kufanya kazi pia.Kama Kuna mtu anaconnection yoyote nitashukuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.