Big up Nape,naona umewafundisha kazi hawa vijana wadogo kwenye siasa,naomba watambue kua siasa sio mchezo wa kukurupuka,kwanza inabidi Chadema wauambie Umma fedha hizo wamepata wapi wanazotumia kuzunguka kwa helikopta nchi nzima,ni nani anaewatumilia ili watoe maoni waliyotumwa na bwana wao...