Recent content by Araback Town

  1. Araback Town

    Tabia za madereva wa aina mbali mbali za magari

    Update hii kuna wahuni wapya mijini, crown....
  2. Araback Town

    Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

    Chuga haiwez fanana na huo mji wenu unaonuka kila kona, majitaka
  3. Araback Town

    Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

    Hakuna kit wanaoisifia weng matapel, kina dude
  4. Araback Town

    Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

    A town/Chugastan ni mji mwingne EA, watu wanaish kama mbele,
  5. Araback Town

    Hitimisho na majibu ya battle ya Arusha na Mwanza

    Nakubaliaina na wew, kimandhari na majengo mazuri Arusha ipo vizur kuliko Mwanza ila Mwanza inaizid Chuga kwa fursa nying mfn, kilimo (umwagiliaji) uvuvi, n.k
  6. Araback Town

    Matapeli wa Simu wanazidi, licha ya simu kusajiliwa! Nani alaumiwe, Makampuni ya simu, TCRA, Polisi au Raia?

    Kwa uzoefu wang mim wa kulaumiwa n TCRA na Makampuni ya simu, baada ya usajili wa nida kulitakiwa kuwepo na taarifa za kila laini na kuweze kufanya ufatiliaji lkn hlo halipo, kampun za cm zenyew n kama zimebarik mchezo huo na hata nyngne hazitoi taarifa za wat hawa wakidai eti siri za mteja...
  7. Araback Town

    Kuvunja utata kwa wanaosema ule mwezi ni wa jana.

    Kwa maana hyo kalenda za kiislam zipo tofaut.....!!? Niluyo nayo mimi inaniambia kuwa leo trh 14/05/2021 ni sawa na 02 Shawwal 1442, je kuna nyingne inasema leo n Shawwal 01......!!?
  8. Araback Town

    Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

    Sasa wewe, hujui quran inasemaje juu ya viongozi, kuwa siku ya mwisho walokua viongoz watawakana waliowaongoza!? Unafkir ina maana gan....mimi nafuata matakwa ya dini na c ya mtu na cwez danganya watu kwan itakua ndiko kuangamia kwang hay n mas ala ya din na co stor za Juma na...
  9. Araback Town

    Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

    Nimeuona na mim cwez udanganganya umma wa kiislam kwa 7b najua madhara yake mbele ya Allah aza wajallah
  10. Araback Town

    Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

    Mbona wwngne tumeuona.....kwann mnalazimisha kutoonekan....!!?
  11. Araback Town

    Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

    Una hakika gan haujaonekana, mim binafsi pamoja n wenzang tumeushuhudia kwa macho ytu
Back
Top Bottom