Recent content by Apps-tz

  1. Apps-tz

    Je, unahitaji kupata historia sahihi ya matumizi ya pesa zako? Tumia njia hii

    Kwa mimi naweza kuona historia ya miamala ya mobile money accounts and banks tu. Sijajua kwa Paypal kwa sababu sijawahi tumia.
  2. Apps-tz

    Je, unahitaji kupata historia sahihi ya matumizi ya pesa zako? Tumia njia hii

    Bila shaka unaweza ukawa ni mmoja ya watu ambao ulishawahi kufanya miamala na ukahitaji kupata historia ya miamala yako yote kwenye mpangilio mzuri, ili uweze kubajeti pesa zako au kufahamu vizuri matumizi yako. Lakini changamoto ni kwamba kuna ugumu katika kupata historia ya matumizi yako hasa...
  3. Apps-tz

    Fahamu njia rahisi ya kununua mahitaji yako ya kila siku ya nyumbani.

    Bei ni ile ile tena kwa kuwa ndio wanaanza kuna punguzo pia sasa hivi.
  4. Apps-tz

    Fahamu njia rahisi ya kununua mahitaji yako ya kila siku ya nyumbani.

    Katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona, ambapo wengi wetu tupo nyumbani, moja ya changamoto kubwa tunayokutana nayo kununua mahitaji ya kila siku ya nyumbani kama vile vyakula, mboga mboga na vinywaji. Kwa kulijua hili kampuni ya Selcom wametuletea application inayoitwa Dukadirect...
Back
Top Bottom