Leo Agosti 26, 2020 Kesi Na. 123/2017 na Na. 236/2017 zinazomkabili Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha Demokrasi na Maendeleo Mhe. Tundu Lissu zilizoitwa leo mbele ya mahakimu mawili tofauti wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, zimeahirishwa hadi Septemba 24...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma wa Watanzania kuhusu ratiba ya vikao vya ndani ambavyo vitahitimisha uteuzi wa Mgombea wa Urais na Mgombea Mwenza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea wa Urais wa Zanzibar.
Vikao hivyo vya kitaifa...
Itakumbukwa kwamba mnamo tarehe 09 Julai, 2020 Mahakama ya Mkoa wa Singida ilitoa uamuzi wa kuwanyima dhamana Watuhumiwa 08 akiwemo Katibu Mkuu wa Bavicha Nusrat Hanje pamoja na Mratibu wa Uhamasishaji wa Baraza hilo la Vijana Twaha Mwaipaya katika shauri la jinai na. 115/2020 linalowakabili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.