Whilethis is certainly an exciting news for CDM lakini lazima tupozi, tustep pembeni tuchungulie kwa jicho la tatu tutafakari kwa kina whats going on!!!! I dont believe in coincidence kwamba mtu anaamua tu kujivua gamba na yote haya yanatokea too fast after recent elections. Tunahitaji...
Hayo ya kuhujumiwa au la tuwaachie wana ccm kwa sasa! nafikiri CDM ni muda muafaka kuanzia sasa hivi kuanza 2015 wining campaign. katika vijana 12 ambao ni marafiki zangu na wapenzi wa CDM,ni vijana 3 tu wenye vitambulisho vya kupigia kura na ni 2 tu wenye kadi za uanachama. nafikiri kampeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.