Recent content by Anwar Mtasingwa

  1. Anwar Mtasingwa

    Naweza kuwa Wakala wa Gasi za kupikia kwa mtaji huu?

    Wakuu kwema? Samahani wakuu. Mimi Nina mtaji wa 3M naweza kuwa wakala wa kuuza gas za kupikia majumbani na kwenye biashara ndogo ndogo. Utaratibu wake upoje? Na bei zake zinaendaje? Naomba kufahamu kutoka kwenu wenye uweledi na uzoefu juu ya biashara hii. Natanguliza shukran za dhati kwenu.
  2. Anwar Mtasingwa

    Dereva wa Uber natafuta gari

    Samahan ndugu hiyo siiwezi asee. Ahsante ssana kwa support yako
  3. Anwar Mtasingwa

    Dereva wa Uber natafuta gari

    Marejesho kwa siku ni almost 25,000tsh inategemea na makubaliano mkuu
  4. Anwar Mtasingwa

    Dereva wa Uber natafuta gari

    Marejesho kwa siku ni almost 25,000tsh inategemea na makubaliano mkuu
  5. Anwar Mtasingwa

    Dereva wa Uber natafuta gari

    Habari, Mimi ni dereva wa Uber, natafuta gari la kazi. Iwe ya mkataba ama gari ya hesabu kwa week. Gari iwe na plate number nyeupe ama njano. Niko vizuri na nina uzoefu na kazi yangu pia. Tafadhali wasiliana nami kupitia: 0788 461 491. Ahsante!
Back
Top Bottom