Recent content by Anvan

  1. A

    Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Bei elekezi kwa shamba lililosafishwa ni 600k kwa heka, hili linalimika muda wote kwa tractor, na sehemu ambayo ni haijasafishwa ni 500k kwa heka
  2. A

    Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Mkuu karibu Morogoro Mikese, shamba lipo ukubwa hekari 140, shamba lipo KM 7 kutoka ilipo mizani ya mikese morogoro, barabara inapitika muda wote, shamba limesafishwa na linalimika kwa trekta
  3. A

    Plot4Sale Shamba Heka 22 linauzwa Mikese-Morogoro

    Nyaraka zote za umiliki wa serikali ya kijiji
  4. A

    Plot4Sale Shamba Heka 22 linauzwa Mikese-Morogoro

    Shamba lenye ukubwa wa heka 22 linauzwa, Shamba lipo Mikese Mkoa wa Morogoro, KM 4 kutoka Mizani ya Mikese Morogoro au barabara kuu ya Morogoro-Dar -Hekari 4 zimepandwa miti aina ya mitiki yenye miaka 7 na kuna nyumba moja kwa ajili ya wafanyakazi -Shamba limepakana na barabara kuu inayokwenda...
Back
Top Bottom