Recent content by Anum

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Inafaa kiongozi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Bado natafuta viongozi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Cc ngapi kiongozi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Viongozi bado sijapata
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Bado nina uhitaji viongozi kwa yeyote anaeweza nisaidia au kunipa connection msaada
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Sijajua kwa kweli labda kama kuna anaejua chochote kuhusu Hilo atupe maelekezo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Ukipata wasaa wa kupitia uzi huu bado sijapata gari bado naomba msaada wenu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Bado naendelea kutafuta ndugu zangu niweze kupata kujikim ndugu zangu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Nashukuru kwa kuelewa namaanisha nn natumaini wengine watanielewa pia maana kuna typing error kiongozi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Asante sana kiongozi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Inafaa kiongozi natanguliza shukrani utakua umenisaidia sana mungu atakuongezea kwa msaada wako
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Mtazamo wako huo mkuu maana nikiwa na mkataba najua nitapambana na kuitunza kuifanya iwe yangu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Habari mm ni kijana wa miaka 28 baada ya kutafuta gari ya taxi mtandao kwa mda mrefu bila mafanikio nakuja mbele yenu kuomba ikiwa kuna mtu mzoefu au anajua namna ya kupata Gari za kuendesha bolt anisaidie mawazo nifanye nn niweze kupata Gari niweze kupata kujikimu natanguliza shukran
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Ndugu zangu bado sijapata ikiwa kuna boss au connections naomba nichek 0752837183
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Habari za mida huu Nipo mbele yenu kuomba Msaada wa kupata Gari ya kufanyia tax mtandao (Bolt) Elimu yangu Chuo kikuu Nina account ya bolt na uzoefu wa miezi 6 Kwasasa natafuta gari yangu binafsi ili niweze kufanya kazi fulltime Kwa maelezo zaid 0752837183
Back
Top Bottom