Recent content by Anthony Yusi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani ukifika unatakiwa kuanza kuwa makini kuchagua vyakula na vinywaji

    Kujali afya muda wote n kitu cha msingi katika maisha ya mwanadam katka umr wowote
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini?

    Wakazi wa Nyamhongolo (Nyangugano) sasa tunapitia shida kubwa ya maji kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Tangu 27/7/2026 mpaka leo 13/8/2026 hatupati maji, na kibaya zaidi hatuambiwi tatizo ni nini. Wamekaa kimya tu, tumejaribu kuwapigia...
Back
Top Bottom