Kaka ni kweli pocket square katika nchi navaa mimi peke yangu?
Nikiondoa pocket square narudi kuwa mtu mwema sasa?
What if akija mwingine akisema pia hapendi na ufungaji wangu wa tai?
Katika hili mmeamua tu kunionea.
Nashukuru sana kwa ushauri wako,huwa sio desturi yangu kujibu masuala mengi yanayonihusu lakini kwa hili nimeona ni vyema niweke sawa jambo hili Na mimi upande wangu usikike ili nisihukumiwe bila kusikilizwa.
Nimesoma kwa umakini mawazo ya muandishi,katika maisha yangu siku zote huwa naamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.