Kati ya hospitali zinayokua kwa kasi hapa nchini hatuwezi kuliacha nyuma jina la 'Mugana hospital'. Najua yawezekana baadhi tumelisikia jina la Hospitali hii lakini tunaweza tukawa hatuna taarifa muhimu.
Ilikotokea
Mnamo mwaka 1956 kipindi cha ukoloni wa Waingereza wakiwa wanamalizia zama zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.