Wakuu samahani.
Je, naweza kutumia Academic transcript badala ya cheti katika kuomba leseni kwenye mfumo wa Medical council of Tanganyika (MCT)?
Kwa sasa nimeuliza uku maana hamna response ukiuliza wao.
Wakuu za leo naomba kuuliza kwa idara ya Afya kama umemaliza ngazi ya cheti unaweza kuomba academic transcript baada ya matokeo kutoka au inatakiwa ukae mda gani ndo uapply iyo academic transcript na je kama umesajiliwa na chuo kuendelea ngazi ya diploma unaweza kuomba academic transcript ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.