Recent content by antar100

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

    Hao ndio wale wanaleta masihara Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Love

    Nahis hao wametulia mana washamaliza kila kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Love

    Habari Nina 30 miaka natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 kuendelea awe dini yoyote kabila lolote. Awe anajishukhulisha na chochote hata akiwa na watoto sio mbaya awe tayari kuchek afya pia asiwe mwembamba na Niko tayari kuoa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si vyema kumdhihaki mtu anayetafuta mwenza humu ndani

    Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko interest why uko humu why unafatilia post kwan ukanyamaza bila comments utakufa? Ni ujinga naomba...
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Love

    Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko interest why uko humu why unafatilia post kwan ukanyamaza bila comments utakufa? Ni ujinga naomba...
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

    OK wapi huk Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

    Muarabu na mngazija Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

    Sure boy hata post wanaipitia mbali haahhaha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

    Tuta Pima tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

    Sina kazi,sina pesa, sina msichana wala mke ila nina hofu na Mungu na nataman sana kupata mwenza kikwanzo kazi sina. Elimu form 6 naishi kucheza mpira ndondo wanaita, na kuwa kibarua wa fundi wa kujenga nyumba umli 28 nahitaji mwenza atakaye kubali kuwa na mimi awe serious mimi ni half cast...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for a HIV+ Muslim man

    HIV siyo yakutisha kuna kansa,colons & Ebola ndio vinatisha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for a HIV+ Muslim man

    Mfano akapatikana ambaye hana ukimwi akakubali kuwa na ww utakubali? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchagua sana ndiko kunawaponza dada zetu

    Natongoz ninao wamudu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchagua sana ndiko kunawaponza dada zetu

    OK vigezo unavyo ww Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki ambao tunaendana

    Habari ndugu zangu Niko hapa kutafuta marafik ambao tuna endana kwa vitu tunavyo penda na sio kama Sina marafik ila nahitaji marafik wapya.binafsi Mimi ni kijana Nina 28 age. Job: nimeajiliwa Relationship: sijaoa na Sina girlfriend ila Nina mtoto mmoja anamiak 10. Naish dar mbezi ya kimara...
Back
Top Bottom