Utawala bora na uwajibikaji, ni usimamizi sahihi unaozingatia sheria na haki kwa usawa kati ya viongozi na raia, ili kuondoa uvunjifu wa haki za watu na matumizi mabaya ya mali za uma, mfano rushwa.
Utawala bora na uwajibikaji huchochea maendeleo katika taifa lolote, uwajibikaji hutokana na...