Recent content by anreinow

  1. anreinow

    JamiiForums Mwinyi Zahera akimbia njaa na ujanja-ujanja wa viongozi

    Sasa tatizo my self namwamini mhusika lakini kumbuka kuna sababu kama tatu 1. Zaher mwenyewe kasema anaenda kusaini documents zake za biashara 2. Wenyewe yanga wanasema anaenda matibabu ufaransa 3. Wenyewe tena wanasema anaenda kwenye kesi Yangu macho mm siweki sitaki niwe wa nne
  2. anreinow

    JamiiForums Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Juma pili hiyoooo
  3. anreinow

    JamiiForums Kakolanya atendewe haki

    Ndo inavyoonesha yanga inapesa wasikudanganye ww mshabiki sijui mshangiliaji
  4. anreinow

    JamiiForums Kakolanya atendewe haki

    Hawajui kuwa kakolanya ndiye koch no2 wa yanga
  5. anreinow

    JamiiForums Kakolanya atendewe haki

    Utaratibu gan kwan si walisain kuwa watalipwa kila mwezi au waliambiwa watalipwa kwa mwaka
  6. anreinow

    JamiiForums Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Dar tunashida wala msiwe na shaka SIMBA SC 3 - 0 NKANA FC
Back
Top Bottom