Mchakato wa utoaji wa zabuni ya dawa na vifaa tiba kwa hospitali na vituo vya afya vya serikali katika Mkoa wa Mwanza umekumbwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu, ukihusisha maafisa wa Kitengo cha Manunuzi (PMU) cha mkoa huo.
Licha ya maboresho yaliyofanyika katika mfumo wa kitaifa wa manunuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.