Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei mwanafunzi ambaye anakaa chini.
Sasa, je hicho kiti na meza akimaliza kidato cha nne anaondoka nacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.