Recent content by Annie91

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wauzaji Wa Tipper Truck Howo, Faw na Scania Mende wapo wapi?

    Habari wadau naomba zilipo yard za tipper truck howo,faw na scania mende au yard au ofisi zao kwa dar Thanks
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kwenye uendeshaji wa kampuni

    Asante nitatembelea huko
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kwenye uendeshaji wa kampuni

    Ni tenda boss
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kwenye uendeshaji wa kampuni

    Naomba utaratibu boss nione kama itanisaidia!..
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kwenye uendeshaji wa kampuni

    Sawa mkuu nimetembelea Equity,nmb,crdb kwanza wanataka Bank statement iliyopitisha pesa miezi 6 wakati mimi mradi unamiezi miwili lakini pia wanataka dhamana ambayo either ni mali ya kampuni au mmiliki at the same time ndo kwanza najitafuta japo kwenye dhamana sio issue yupo mtu wa kunibeba...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kwenye uendeshaji wa kampuni

    Pole sana bro yawezekana umepigwa mahali. Pole sana!..Si kila anaekuja hapa ni mpigaji kama fikra inavyokwambia ama experience uliyonayo..Usipuuzie uzi wa mtu ila ukiamini hivyo sikuzuui,Asante kwa comment yako uwe na wakati mwema kiongozi.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kwenye uendeshaji wa kampuni

    1.Hapana hazijaungana ambayo inakazi kwasasa ni Cleaning and waste management (Usafi) 2.Nilianza na mtaji wa 20mil na sasa nina 5mil 3.Cash investment ninayohitaji walau 50mil ila isiwe chini 45ml kwasababu investment kubwa natakiwa nifanye ili inizalishie zaidi. 4. CLEANING AND WASTE MANAGEMENT...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kwenye uendeshaji wa kampuni

    Nimetembea baadhi ya bank mkuu lakini concern yao hawatumiì mikataba tuu kukopeshea na dhamani tuliyonayo ili tukopee haikidhi vigezo vyao.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Napataje wawekezaji kwenye kampuni yangu?

    Kwasasa shughuli yangu Ni kukusanya na kuchambua hizo malighafi nataka nihamie kwenye kuzirecycle maana kuuza raw material inayoenda kuchakatwa ni tofauti na kuiuza ambayo umeshaichakata mwenyewe ama ambayo umeshaiunda product.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Napataje wawekezaji kwenye kampuni yangu?

    Nini hujaelewa boss
  11. A

    JamiiForums Tanzania Napataje wawekezaji kwenye kampuni yangu?

    Nipo kwenye tasnia ya waste material nina mkataba wa miaka 4 mikoa tofauti nakutana na malighafi mbalimbali ikiwemo vyuma chakavu, Paper waste, plastic waste n.k nimeanza hatua ya kwanza kufatilia uanzishwaji wa small recycling industry pamoja na production kwa baadhi ya bidhaa,.Nahitaji mdau...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kwenye uendeshaji wa kampuni

    Wadau mimi niliamua kujiajiri rasmi mwaka jana na nikasajili kampuni ya usafi, real estate na usambazaji mwaka huo huo 2023 Aprili. Nilianza hizi harakati tangu nikiwa ajirani nikaandaa ofisi, vifaa na kuanza kusaka kazi. MUNGU si farujohn mwaka huu mwezi wa 5 nikafanikiwa kupata miradi miwili...
Back
Top Bottom