Recent content by annakis

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    . Kwa sasa Solo Thang AKA Traveller AKA Msafiri anaishi Uingereza akiwa ameoa na mtoto mmoja anayeitwa YASSIR na Mama yake anaitwa YASMIN.nimeipenda sana hii artical ya solo thang ipo google kwa wale wakereketwa wa solo thang tumefatia kwa kina na kugundua 2007 alihojiwa na bongo 5 hakumtaja...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    Yalivyoandikwa toka mwanzo hukuona umejibiwa unauliza yanahusu nini mwanaume anaweza lala na wanawake 10 akaonekana rijali ila mwanamke ukalala wa wanaume 2 wakati mmoja wee ni kicheche tuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    Eehh hayaaa tupe newz vizuri mbona unatubania jide nae alipitiwa wasanii balaa sana haya majina yao yanawaletea matatizo au ndio mambo ya Nyota
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    Wadada heshimuni ndoa zenu kwani yasije yakawakuta ya wastara wanasemwa wanaume tuu kuchepuka hata wanawake wanachepuka na kuumbuka na mimba zisizo na baba wa halal
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    Solo thang hawezi kumuacha mkewe na kumkimbilia mwanamke ambaye hakuwa muwazi ila madhal kaambiwa mtoto wake haya
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    Mpenzi wastara juma yule aliyefiwa na mumewe ajulikanae kwa jina la sajuki ndio aliyezaa na solo huyo wastara ñi wale wale alizaa mtoto wake 1 kwa mwanaume mwingine akachwa akaenda kwa mwanaume 2 ambaye alishajitokeza akasema amezaa na wastara mtoto wa kiume mtoto ambaye wastara anasema wa solo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    Wastara alikuwa mke wa mume wake wa 2 alipochepuka na kutembea na solo thang na ndipo msanii huyo alipokuja kujua kama mke wa mtu akaamua kukimbia maana mke wa mtu sumu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    Hahaha hakuoa mzungu mkewe ni mtanzania ila ni mixer na bado yupo mkewe na kwa taarifa za hivi karibuni mkewe amejifungua mtoto wa kike hivyo wana watoto 3 na mkewe mwanaume 1 na wanawake 2 na kama huamini nenda instagram na facebook utaona picha mpya ya mtoto wa 3 wa solo thang
Back
Top Bottom