Recent content by anna marwa

  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Natamani kufika kila eneo kufanya kampeni lakini siwezi

    Rais ni binadamu anachoka pia anamajukumu ya serikali hawezi kwenda huko kote...hongera Sana Magufuli hujawa mlafi umeamua kuwatuma watu wengine wakusaidie baadhi ya majukumu.. wewe ni Rais unaethamin vipaumbele na kipaumbele chako ni wananchi wako.. CCM oyeee..
  2. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda CCM na Dkt. Magufuli hawakujiandaa kwa upinzani huu

    CCM imejiandaa vizuri Sana, kwa mambo yaliyofanywa na serikali ya Magufuli hayaitaji nguvu Sana kujinadi wananchi wamemkubali na kumuelewa Magufuli pasipo kutumia nguvu hiyo mwandishi unayohitaji..
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa janja hii ya CCM kutumia ugeni wa kitaifa kuomba kura NEC semeni jambo

    Umesahau Kama Magufuli bado ni Rais wa nchi, anatakiwa kutekeleza majukumu Kama Rais wa nchi lakin Kama mgombea wa chama Cha mapinduzi.. hilo pia linaitaji wewe kwenda darasani kupambanua.
Back
Top Bottom