Wadau mwaka jana mtakumbuka jinsi Mama Kilango alivyopiga kelele kuhusu usafirishaji wa madini ya bauxite kutoka Same kwenda Kenya! Uharibifu mkubwa wa mazingira / uchafuzi wa vyanzo vya maji vilisababisha hadi Waziri Mkuu kuingilia na kuzuia kadhia hii!
Cha ajabu sasa,malori yapatayo 30 yenye...
Hii ni kazi ya Jimbo Kuu la Moshi. Hakika wamemuona mtu huyu hafai kabisa hata kulikaribia kanisa! Tokea mitafaruku iliyotokea wakati wa misiba ya wazazi wake, tabia zake za kugawa ukoo wao, na mbaya zaidi ni ufuska wa kutisha anaofanya na wanafunzi wa sekondari na chuo cha wauguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.