sijui juu ya hio mpendwa...mimi ni kampuni ya bajaj...
na bidhaaa za bajaj zipo katika makundi mawili,ambayo ni:
1.bajaj mataili matatu-RE 205 new model kwa sasa
2.bajaj mataili mwili-kuna bajaj boxer bm 100,150,kuna bajaj platina 125cc,kuna bajaj pulsar 185 etc
kabla ya yote nijue upo wapi n biashara yako ipo hai kweli ndugu?baada ya hapo tunaenda kwenye maandishi yani nione tin number yako ya biashara na duka...kwa idadi nakupa ata mbili sio mpaka ziwe nyiiiiiiingi,lakini kama kuna fulsa pana ya kufanya biashara eneo lako nikithibitisha aah sina hiana...
shilingi 5,600,000/-TZS
inakuwa na usajili pamoja na plate namba ya njano
free 3 service yani kila baada ya kilometa 750 na ukianza na 750 yenyewe kisha 1500 na ya tatu ni 2500 ama 3000
kuna garentiii ya miezi 7 kwa chochote kitakacho aribika ama leta tatizo na ikionekana akitengenezeki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.