Recent content by AnkoK

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa Soko la Mhogo.

    Habari wadau, Ninauza Mhogo uko Shambani, Kibaha-Soga. Nililima Hekari 10(10Acres). Una uchungu,hivyo unafaa kwa matumizi ya Unga,na kwa mahitaji ya viwandani. Naulizia Wa-china wanaonunua Mhogo hapa Nchini.
Back
Top Bottom