Recent content by Anjoh

  1. A

    Loan application for higher education 2014/2015 start on 16 april 2014

    hapo nnavyojua unatakiwa ulipe baada ya kuona jna lako kuwa umepata mkopo baada ya kuapply coz kuna rafk yangu alapply mkopo ila jna lake lilikuwepo kwa wale wanaotakiwa kulipa 25% kwanza il aonekane amepata mkopo na inategemea umemalza form 6 mwaka gan coz mwaka huu naona kuna...
  2. A

    Loan application for higher education 2014/2015 start on 16 april 2014

    ila hapo wamewaonea wale walomaliza mwaka 2011 kurud nyuma xaxa cjui wanataka waende wap wakat wengne wanategemea mkopo il waxome!
Back
Top Bottom