Recent content by Angie

  1. A

    JamiiForums Tanzania UN Job Vacancies

    kazi naijua. Labda ikija kwa uzoefu wakisema miaka 10 sina ila mitatu minne nnayo. Pia in any case nadhani kila ukiingia kwenye org. mpya lazima utapewa induction period ili u-cope na mazingira yao maana kila organization huwa na procedures tofauti na nyingine. Sijui wapi sijaenda sawa. angie
  2. A

    JamiiForums Tanzania UN Job Vacancies

    Asante kaka, mimi nimejaribu sana ila inakuwa ngumu sijui kwa nini? Nimemaliza MBA Any assistance I might need? Angie
  3. A

    JamiiForums Tanzania KAZI KAZI Mwenye bahati anabahatika..

    Hivi jamani tufanyeje hizi kazi? Mtu umesoma, una all the qualifications then sabotage inakuwa experience:shut-mouth::nono:
  4. A

    JamiiForums Tanzania kwa wanaopenda kufanya kazi un ingieni link hiyo hapo

    Tunashukuru sana. Ngoja tujaribu bahati zetu na huko.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hodi wana JF

    Namshukuru Mungu kwa mwaka 2011; Nategemea mchango mkubwa kutoka wana JF ili kujenga nchi yetu kikamilifu. Uzalendo unahitajika sana.
Back
Top Bottom