Recent content by angelpound

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Asante ndugu kiboli Kwa bahati nzuri niko na mtaalam (bwana shamba) ambae ndo atakuwa akiniongoza na pia yeye ana uzoefu tayari. Naamini nitafanikiwa, sitaki kuweka mawazo hasi yatanikatisha tamaa! Nakomaa, na pia nitafata hatua kwa hatua.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Nashukuru kwa ushauri ndugu Bavaria nitaufanyia kazi Sawa ndugu yangu MLIPAKODI asanteeeee
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Ndo naanza ndugu yangu bado ninahitaji mwanga!! Naamini mambo yataenda sawa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Asante ndugu ndo maana nikaleta hapa nipate ushauri zaidi..... ni katika kuboresha tu. Kisima
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Habari ndugu zangu.... Mimi nimeingia kwenye kilimo. Sasa natayarisha shamba kwaajili ys kupanda nyanya, tafadhali naomba msaada kwa ambaye ameshatumia mbegu za ANNA. Je, ni kweli zinazaa miezi nane mfululizo? Na kuhusu soko, mnanishauri vipi nitafute madalali au niuze mwenyewe maana kuna...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mabinti tu hapa

    bab-D Skukukusudia am new here sijui hata hiyo PM ni nini...... I never used JF before And I thought we are all civilised adults
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mabinti tu hapa

    Check me mamii
Back
Top Bottom