Recent content by Andytomz

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Hahaha hawa viumbe wanaibwa sana nikikupa namba utamtorosha aisee
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Hahaha hapana mkuu nafasi zilikua zimebaki mbili tuh wanahitajika wanne mpaka sasa wamepatkana watatu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Its ok fanya hvyo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Maslahi (mshahara) ni mazuri mkuu ila mda mwingine ni tamaa za mtu binafsi zinapelekea yote hayo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Usijali mkuu tutazingatia hilo pia
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Siyo kama NEC ...taratibu zote na sifa za muombaji nimetaja apo juu ili kurahisisha zoezi mkuu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Ayo ni maelewano baada ya mtu kutuma maombi ya kazi na kufata taratibu nilizotaja mkuu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Wanatafutwa wahudumu wawili 2 wa Bar iliyoko Goba jijini Dar-es-Salaam. Sifa za muhudumu: 1. Awe na Lugha nzuri kwa Wateja 2. Awe na juhudi katika kazi 3. Awe tayari kuishi katika hostel ya mmiliki wa bar kuepusha usumbufu. 4. Awe anatokea mkoa wa Dar es salaam. 5. Awe tayari kufuata...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo zuri (jiko) la kufanyia biashara ya vyakula - Restaurant

    binafsi cjawaza hzo sehem zenye vifaa kabsa ila kama zipo nayo ni flesh kabsaaa inapunguza usumbufu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo zuri (jiko) la kufanyia biashara ya vyakula - Restaurant

    mtaftaji (yan atayenifanikishia) ntampa laki moja (100k) kiroho safi tuh c anakuwa kama dalali au cyo..isije kuwa bado ten na dalali alipwe
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo zuri (jiko) la kufanyia biashara ya vyakula - Restaurant

    me pia ninatafta sana sehem kwa ajili ya biashara yangu ya restaurant jaman wataftaji wenzangu naomba unitxt pm kama ukiipata.. bajet yangu ni laki mbili hadi laki tatu.. kwahyo sehem iwe very good
Back
Top Bottom