Kama Ambavyo wewe unachokitu kwa upande wako unakiita Starehe na ni nje ya kazi, basi na mimi boxing ni tamaduni na starehe kwangu ( nafurahi nikiona the Art of Boxing"
Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili,
Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri...
Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
Hakuna namna tunaweza msulutisha mwanasiasa na akafanya kazi yake kwa usahihi, maana hii swala la kujengewa viwanja liko chini ya serikali iliyotenga maeneo kwaajili ya viwanja
Kuhusu umiliki wa kisheria naomba niongeze jambo, huu uwanja upo sehemu ambayo ni eneo maalumu lililotengwa na serikali kwaajili ya michezo, kama tunavyojua serikali hutenga maeneo ila kuhusu ujengaji wa viwanja ni juu ya wananchi.
Ndoo maana nkaanza kusema je kunauwezekano kuifikia serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.