Mkuu walimu kibao wako benki..kigezo cha kuwa bank officer nadhan sio fani ila ni level flan ya elimu..binafsi nina bach ya fani flani ya engineering tofaut kabisa na mambo ya benki ila nmefanya na aptitude..ni wazo langu
Kuna mwamba yuko NMB simiyu nimemuuliza akajibu kuwa cut point zinategemeana na ufaulu kwa ujumla..
Ila test ya kanda ya ziwa iliyokua na 60 mins ilikua nzito kimtindo..tusubir panga la farao kizaz kbsa:D
napatikana Mwanza Buswelu pia ni kijana msomi ila sina limitations kwenye aina ya kazi. Nimeattach CV yenye full details.
Asante
NOTE: nafanya kazi yoyote yenye maslahi na mahala popote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.