Recent content by amonhurter

  1. A

    JamiiForums Power Transmission lines kutoka Kidatu/Kihansi ziko hatarini kudondoka

    Napenda kutoa ushauri kwa uongozi Wa Tanesco makao makuu watembelee miundo mbinu ya Umeme mkubwa kutoka kidatu/kihansi (Management By Walking Around) wataona towers ziko hatarini kudondoka kwani MTO Gide -Ubongo umeondoa udogo wote bado hatua chache tu.
Back
Top Bottom