Recent content by Amitriptyline

  1. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujijengea uwezo wa kusoma vitabu

    Mambo mtambuka. Kinachotakiwa ni kujenga tabia ya kusoma vitabu ili kupata knowledge yeyote Ile kwa lengo la kukuza ufahamu wa mambo.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujijengea uwezo wa kusoma vitabu

    Ni katika mambo mtambuka, husan saikolojia, Tehama, nk
  3. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujijengea uwezo wa kusoma vitabu

    Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
Back
Top Bottom