Recent content by Amirosa

  1. Amirosa

    Msaada wa mtaji wa kifedha

    Asante Chance ndoto. Amina.
  2. Amirosa

    Msaada wa mtaji wa kifedha

    Kwa wale wakubwa nawaamkia shikamoo, na kwa wale wadogo zangu nawasalimia habari? Mimi ni mwanaume nisiyesikia yaani Mimi ni kiziwi ninaitwa Amirosa. Kwa yule yeyote mwenye uwezo wa kifedha nimekuja humu nikuombe msaada wa hela ya mtaji kwa ajili ya kuwalisha kuku vifaranga 70 kwa kuwa...
Back
Top Bottom