Recent content by Amir sk

  1. A

    JamiiForums Tanzania Manabii na watumishi wa Mungu ,kwanini mnapata unabii wa mabaya tu kuhusu Tanzani? Hamjawahi kuoneshwa mema?

    Nabii Hebron Huwa anatabiria Tanzania mema yangu zamani ikiwemo mageuzi makubwa aliyofanya JP Magufuli.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Sea Bus Express acheni utapeli

    Unachukulia kiutani Mzee? Unapofika ofisini kwao unaambiwa gari inaenda Mbeya.Ukiwa njiani ndipo unaambiwa stori za kufaulishwa.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Sea Bus Express acheni utapeli

    Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao wanawafaulishia Tabora na kupitia njia ya Chunya ambayo ni Barbara ya vumbi. Nauli ya kutoka Mwanza hadi...
Back
Top Bottom