Hamjambo mwa jf Mimi imeto kea kusumbuliea na kichwa mwezi was tatu sasa hasa has a sahemu ya utosini na moshipa ya damu huvimba na kuvita.hujisikia wakat mwenginr uchovu kizunguzungu na mafua nimeenda hospital kutanya vipimo zaidi ya vitatu negative mwisho ikanibidi nipime blood count...
Habari zenu wakubwa jamani Mimi nasumbuliwa na na maradha hata siyajui chanzo nini haswa kichwa ninaniuma utosini na mishipa ya damu hukaza na kukazuka nilipima blood count p nikaambiwa damu yako nyingi 17 hg nikafahya blood transfusion nilitoa chupa moja lakini naona hali vle vile hapa nifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.