Recent content by Ambokile H Mwaisaka

  1. Ambokile H Mwaisaka

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Swali la kwanza. Kwanini wizara haikuandika katika vipeperushi siwezi jua ila njia zote nilizoziandika zinatumika nchi isipokuw watumiaji ni wachache ,hivyo ukikosa hospital moja jaribu kwenda hospital nyingine. Swali la pili; Njia zote zinapatikana Tanzania na ni affordable Swali la 3, Njia...
  2. Ambokile H Mwaisaka

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Nyingi hufa njiani kutokana na uwepo wa tindikali(acidi) inayotolewa na uke wa mwanamke kwaajili ya ulinzi ndyo maana hata ikitokea hutokea kwa asilimia ndogo
  3. Ambokile H Mwaisaka

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    😅nimeongeza maelezo katika njia ya kumwagia nje ,ni vyema ukaipitie tena
  4. Ambokile H Mwaisaka

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Ni nzuri Ila kwa mfano njia ya kalenda,unakuta mwenza wako anahitaji penzi katika siku za hatari, na tafiti zinaonyesha zile fertile days(siku za hatari) huambatana na ongezeko la hamu ya tendo la ndoa, utafanyaje? Utasubiri siku zaidi ya saba zipite😒 au ndyo liwalo na liwe😅
  5. Ambokile H Mwaisaka

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Sehemu nilizo tumia English, zilikuwa ni bora ikae english kwasababu kiswahili chake kinge changanya zaidi.
  6. Ambokile H Mwaisaka

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Tusisahau kuipigia kura wapendwa.
  7. Ambokile H Mwaisaka

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Kuna watu wanatumia P2 wakidhani ndyo njia pekee ya kuzuia mimba,wengi hawajui njia nyingine za kuzuia mimba. Kwanza ,anapaswa kufahamu kuwa P2 ilitengenezwa kwaajili ya nyakati za dharula tu na sio mbadala wa njia nyingine. Pili, P2 ina dose kubwa sana ya mchanganyiko wa homoni tofauti na dawa...
Back
Top Bottom