Recent content by AMBAE NIKO

  1. AMBAE NIKO

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Dangote Mtwara apandishwa kizimbani

    Maafisa uhamiaji wasio waaminifu wamechangia sana kulifikisha hili swala lilipo..mimi nadhani Waziri Kitwange angeanza na jipu hili kwanza, kabla ya madawa ya kulevya
  2. AMBAE NIKO

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Dangote Mtwara apandishwa kizimbani

    Hali sio nzuri ata kidogo kwa wafanyakazi wa kitanzania waliopo dangote mtwara, na tunashukuru MUNGU kwa kutupa Magufuli tunaamini haki itatendeka. Wizara ya mambo ya ndani na Wizara ya kazi ilifuatilie hili kwa ukaribu..kuna haja ya TISS wenyewe kuingia dangote kujua ukweli, hawa raia wa...
  3. AMBAE NIKO

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Dangote Mtwara apandishwa kizimbani

    Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara amefikishwa mahakamani leo 08/12/2015 kwa kosa la kuishi nchini bila kibali na kuwadharau maofisa wa serikali (Uhamiaji). Mkurugenzi huyo raia wa India, anaesemekana amekuwepo nchini zaidi ya miaka 5 sasa bila kibali halali na bila...
Back
Top Bottom