Recent content by amanij

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

    Hakuna anayetaka kuvunja muungano sio CUF wala ACT Wanasema muungano tulokwa nawo unakasoro nyingi tuzirekebishe. Kunawatu katika system wanataka nchi moja kuuwa zanzibar kama inavyotakiwa kuuliwa Palestine. Wazanzibari hilo hwalikubaki, wanataka Zanzibar ibaki. Sasa kama Tanganyika irudi na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Vijana waanza kuulizia Ratiba na Njia za maandamano ya Amani ya 7/7

    Wanao andaa maandamano waseme zane : marufuku: kuchukuwa jiwe au mawe Kisu au panga rungu chupa au aina yoyote ya kitu kitakachotumika kama silaha. kuvamia watu au kuvunja maduka Kuharibu mali za watu au mali ya taifa. Kuwapa nafasi wale wote walokuwa hawashiriki maandamano kuendelea na kazi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Diplomasia iliyomtoa Mbowe ndani ikishindikana, dhidi ya Lissu Kuna hatari kubwa mno, waliomchagua hawana cha KUPOTEZA kama ambavyo Abduli hasingekuwa

    Lissu kashikiliwa na vyombo vyadola au vyombo vya Sharia. Raisi hawezi ingilia . Kesi ikimaliza na kushtakiwa hapo yeye anaweza kuingilia.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Sawa Tanzania kuna serikali mbili kwa maana hiyo kuna bajeti mbili serikali ya Zanzibar na bajet yake ya watu 1.5 millioni Serikali ya Muungano Tanzania na bajet yake ya watu millioni 60. katika katiba inasema wazanzibari wote ni watanzania lakini si watanzani wote ni wazanzibari. Ikiwa bajet...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    Mie nataka munifahamishe vipi Raisi kawa muuaji? Kila chombo kina viongozi wake. Polisi kuna makamamnda halafu mawaziri halafu Waziri mkku Halafu Raisi. Lakini mnaruka na kusema raisi ndio muuaji HOW? Nchi nyingi diniani yakitokea hayo mambo huelekezwa kwa wanao husika yaani mawaziri na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Kuna chuo zanzizbar kinafundisha uwakili. Wanafunzi wake wakihitimu asilimia 90 wana ajiriwa bara. Sababu nini jiulize
  7. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yadaiwa kuwazuia Wabunge wa Ulaya (EU) Kufanya Ziara Nchini

    sawa mkuu. kwanini hawendi huko. wameshindwa na russia huko ukraiun wanataka mali zetu tuu. nickel, lithium, cobalt, uranium gold nk
  8. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wafadhili waanza kung'ata: EU wapiga kura na kuzuia Euro Milioni 156 kwa Tanzania

    hawa wanafiki sana. Israel imeua watu kwa ma elfu na hakuna hata mmoja alofunguwa kinywa chake. Wawo wameuwa watu chungu nzima huko Iraq, Libya Na sasa Iran hakuna ano sema kuhusu haku za binaadamu. Wanataka sisi wa afrika tuuwane waje wachukuwe mali zetu. Tuna Uranium tuna Nickel hizo ndio...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa tuna Rais tayari angekwisha kuja na majibu ya kina kuhusu mradi wa mafuta wa Tanga , na kwanini dangote kapeleka mombasa

    Mwache apeleke Mombasa hata Sudan Msipige kelele tuu mama akapata mfadhili mwingine kutoka Kuwait au Morocco au Oman au Russia
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

    sawa wapo kwenye onyesho. lazima wafanye hivyo baada ya onyesho watavuliwa kila kitu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

    Ahsa mzigiro ni muislamu na amesha kuwa mzee. Kwa hivyo kaamua kurudi kwa mungu wake. Na hiyo ni imani yake sio kalazimishwa. Asha ni msomi zaidi ya Samia. kama nchi nyingine wanamtumikia Raisi ni wasomi kushinda Raisi.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili za kutaka kumwongezea muhula wa tatu katika Katiba Mpya ya mwaka 2028 ili kukwepa uwajibikaji baadaye

    sawa lakini yeye lengo lake kuwa raisi wa Tanzania
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Maigizo ya Bi Samia Suluhu Hassan na wafungwa wavaa heleni, gereza la UKONGA🤪🤪😁

    Ile ilikuwa show au onyesho. Kwa hivyo wafungwa walipewa mavazi na kurembwa ku fanya show ile. Wakimaliza zote zinachukuliwa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tanganyika and Zanzibar: Articles of Union and implementing legislation, with other evidences

    Hilo halina kutabiri. Wazanzibari wote hawautaki muungano. Sasa kazi ni watanganyika kuunga mkono wa Zanzibari katika suala hilo. Masheik wetu Zanzibar waklikaa ndani miaka 8 kwa sababu walikuwa wana eleza ubaya wa muungano. Message sent sasa wazanzibari wote wamefahmu. Zanzibar wameuliwa na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Tume ya Jaji Chande haikuwa na mamlaka kisheria kumwamrisha pathologist kuchunguza miili ya waliokufa kwa mashaka

    Vipi waliouliwa Zanzibar mbona hakuna tume na hakuna walio tetea
Back
Top Bottom